Business Management System (Bazpage)

This is online system used to manage business (product/service sales). It can be used by any one or institution, company or group which is running sales business, we simplify your business through a digital platform.

Huu ni mfumo wa kimtandao unaotumika kusimamia na kuendesha biashara ya mauzo (bidhaa/huduma). Kampuni, kikundi au mtu yeyote anaeendesha biashara ya mauzo anaweza kutumia mfumo huu. Usimamizi wa biashara kwa urahisi zaidi.

Bazpage © 2025 All Rights Reserved. Developed by Tafuget Labs

About This System

We created a digital platform that is simple, easy, affordable and fast to use.

Bazpage is online computer system developed in 2023 by Tafuget Company under TafugetLabs, system has been used and trusted by many customers. The system is used to manage sales business, that means you can register and track your products, purchase and sales, you can track and record expenditures and many more can be done using Bazpage.

In order to use Bazpage you will need to have computer (desktop or laptop) for simpler usage, although you can also use small devices like smartphone, tables, ipad etc. you will also need to have an internet access device like modem.

Bazpage ni mfumo wa kompyuta wa kimtandao uliotengenezwa mwaka 2023 na kampuni ya Tafuget chini ya idara yake ya TafugetLabs, mfumo umekua ukitumika na kuaminika na wateja wengi ndani ya Tanzania kwenye mikoa mbali mbali. Mfumo unatumika kuendesha na kusimamia biashara ya mauzo, kwa maana unaweza kusajili na kufuatilia bidhaa, manunuzi na mauzo, unaweza kufuatilia na kunakili matumizi kwa urahisi zaidi kwa kutumia Bazpage.

Ili kuanza kutumia mfumo wa Bazpage utatakiwa kua na kompyuta (ya mezani au laptop) kwa urahisi zaidi wa matumizi, japo unaweza kutumia vifaa vidogo zaidi kama simu janja n.k. utatakiwa pia kua na kifaa cha kukuunganisha na mtandao kama modem.

Features/Sifa za mfumo

Our team has made huge effort to make sure that the system is in the highest quality, we are providing fast support to our customers in order to meet their requirements. We are not perfect but we are trying to satisfy our customers. Bellow are just few features of Bazpage...

Purchase Management

Kutunza na kufuatilia manunuzi.

Sales Management (POS)

Kutunza na kufuatilia mauzo.

Bills Records

Kutunza na kufuatilia bili za ofisi.

Expenditures Records

Kutunza matumizia ya ofisi.

Stock Tracking & Alerts

Kupata Taarifa na kufuatilia idadi ya bidhaa.

Branch Management

Maduka/Biashara zenye ofisi moja au matawi.

Multiple Report types

Ripoti za aina tofauti tofauti.

And Many More...

Na zingine nyingi...

Contact Us

Get in touch with below contacts to get a price and more details about the system. Wasiliana nasi kupitia mawasiliano hapo chini kupata bei zetu na maelezo zaidi kuhusu mfumo.

+255 621 180 232
0621 180 232

Ghana, Ilemela - Mwanza, Tanzania,
*Opposite to Rock City Mall